evan rwiza
Member
- Nov 9, 2015
- 38
- 25
Weka timu zote kwa makundi ambazo zitashiriki.Habari Zenu Wapenzi Wa soka Wote.
Nawakaribisha Katika Thread Hii Maalumu Kabisa Kwaajili Ya Kombe La Dunia Mwaka Huu 2018.
kwakifupi Humu Tutabadilishana Mawili Matatu Yanayohusu KOMBE LA DUNIA
(FIFA WORLD CUP]
Karibu sana team Argentina sweetleeBaada ya Italy kutofuzu karata yangu naipeleka Germany. Japo nitaishabikia Argentina kwa mkopo.
Ngoja tuone kikosi cha brazil kitafurukutaje eeh [emoji2][emoji2]Nampenda mfaransa,ila mjerumani akichukua kombe fresh tu
na lazima watakutanishwa tu maana wazungu wanazijua hujuma vizuriWakikutana
Brazil Na German Itakuwa Kazi
[emoji2][emoji2][emoji2]Kombe linakuja Africa kwa Mara ya kwanza
Ngoja siku zikaribie kwanza chief...hahahaJamani Tujuwane Kabisa Mimi Nipo South Korea
hahaha braza umeamua kujihami mapemaNiko Germany naomba ifahamike hvo
tupo pamoja chiefView attachment 777412
Tujuane mapema kabsa..
Mimi BRAZIL...
View attachment 777421
NA SPAIN..
Wewe Jee???
hawa siku hizi hamna kituKikosi cha awali cha Argentina. Mabingwa watarajiwa.View attachment 777535View attachment 777536
[emoji2] [emoji2] [emoji2]hahaha braza umeamua kujihami mapema
Sio kirahisi hivyoEgypt, Portugal na Mexico (hawa wataishia makundi)
Brazil, England na Argentina (hawa nusu fainali hawafiki)
Spain, Germany, Belgium na France (hii ndio semi final)
France vs Spain (final)
France (winners)
Asanteni kwa kufuatilia WC 2018 tukutane 2022
Aaah wapiHahaha
Brazil tunawafumua vzuri tuu
hhahahaBaada ya Italy kutofuzu karata yangu naipeleka Germany. Japo nitaishabikia Argentina kwa mkopo.
We uko Brazil si timu ya kila mtu hiyo?Aaah wapi
[emoji1][emoji1][emoji1] sawa ngoja tuone, mm ss mbona nna timu nyingi hapa[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Msije kusema skuwa na timu
Germany na argentina haviendaniNakuona [emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji1][emoji1][emoji1] sawa ngoja tuone, mm ss mbona nna timu nyingi hapa