Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Inayoendelea kushinda hadi sasaWewe ndiyo timu ipi ten?
Hii mechi itafika penaltiMechi ya Brazil Vs Mexico tamu sana leo.
Dk 90 tu mechi inaisha kiongoziHii mechi itafika penalti
Zimebaki 45 ngoja tuoneDk 90 tu mechi inaisha kiongozi
Yuko vizuri sanaHuyu jaluo wa mexico ochoa anajua kulinda boma
Ikifika penalt kesho wakina paranauweeeeee wanawapokeaaa wenzao kwaooo ....Hii mechi itafika penalti
Washaipata tayari hapa ni mwendelezo wa hiyo tabuHii mechi Brazil watapata tabu sana.
Nishabet ndoo inaenda Belgium au France, ngoja nione saa tatu usiku mwelekeo utakavyokuwa.Ikifika penalt kesho wakina paranauweeeeee wanawapokeaaa wenzao kwaooo ....
Yap..... Yupo slow sana tofauti na yule wa chelseaIla huu upande wa william angekuw anacheza Douglas Costa.
Brazil hamna kitu sasa hv!Nishabet ndoo inaenda Belgium au France, ngoja nione saa tatu usiku mwelekeo utakavyokuwa.
Hawa vigogo wa soka naona wako cheap sana awamu hii