Kila mtu lazima aipende sababu wanajua, japo mm nipo na timu nyingine pia....We uko Brazil si timu ya kila mtu hiyo?
Yees, kule ndio kwenye uchawi wa soccer dunia nzima inajua hivyo...hakuna wa kupinga.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Primarily si ndio hao brazil
Hadi watoto wanashangilia hiyo
Mimi baada ya Italy [emoji634] kutofuzu niko Germany [emoji629] Sema Argentina [emoji1033] nitakuwepo kwa mkopo tu na unajua kwa nini [emoji23][emoji23][emoji23]Germany na argentina haviendani
HahahahaKila mtu lazima aipende sababu wanajua, japo mm nipo na timu nyingine pia....
[emoji2]Mimi baada ya Italy [emoji634] kutofuzu niko Germany [emoji629] Sema Argentina [emoji1033] nitakuwepo kwa mkopo tu na unajua kwa nini [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] Nafahamu sasa si uishabikie Portugal [emoji1201][emoji2]
Argentina hainitishi kwa ila siipendiiiii
Na unajua kwa nn
Maswali yapo tu [emoji23][emoji23]-Brazil
-Spain
-France
-Germany
-England
This is my top five list.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sitaki maswali....
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Germany ndio tim ya kwanza[emoji23][emoji23][emoji23] Nafahamu sasa si uishabikie Portugal [emoji1201]
Awapi mkuuKombe linakuja Africa kwa Mara ya kwanza
Wajerumani nawapenda ila waliniudhi sana walivyo mfunga Brazil goli nyingi vile....Hahahaha
Mi mwenyewe ntakuwa na jump from ship to ship kuendana na mechi
Ila Ujarumani akicheza na yyte niko huko
Germany [emoji629]-Brazil
-Spain
-France
-Germany
-England
This is my top five list.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sitaki maswali....
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
That's my girlMimi baada ya Italy [emoji634] kutofuzu niko Germany [emoji629] Sema Argentina [emoji1033] nitakuwepo kwa mkopo tu na unajua kwa nini [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wajerumani nawapenda ila waliniudhi sana walivyo mfunga Brazil goli nyingi vile....
Watoe england mkuu-Brazil
-Spain
-France
-Germany
-England
This is my top five list.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sitaki maswali....
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Portugal hamna kitu...akikutanishwa na Spain au England lazima aseme bye [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23] Nafahamu sasa si uishabikie Portugal [emoji1201]
Kwenye Kombe hili tuko pamoja. Hapa hatujatengana tu[emoji23][emoji23][emoji23]Germany ndio tim ya kwanza
Ila portugal Naye namkubali
Kwa hiyo Germany itakuwa ndio meeting point yetu [emoji2]
Nyie mbona mna timu nyingi hvo[emoji23]Germany [emoji629]
Spain [emoji633]
Brazil [emoji1054]
Argentina [emoji1033]
France [emoji1105]