Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Imelala dooroo...yeuwwiiiMnoo! Weweza shangaa ngoma imelala hyooo!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nyas itaacha sizmis huko Kwa bibiNtatumia nyasi tuu leo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1]Belgium Saizi yake ni Japan Brazil ni level nyingine
Una bahati Mbaya ndugu
Belgium nimeipata nafasi kubwa kuchukua ndoo ila ndio hivyo tena, ni majaliwa ya maulana hapaNimebaki mdomo wazi! Sitaki kuamini ninachokiona!
Mfyuuuuu[emoji57]....em niache kwanzaNyas itaacha sizmis huko Kwa bibi
Iwe n kilio x2
[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1]Mie ni nani hadi niache kuwa upande wa De Bruyne?
Haraguchi na Honda safari imekwiva.
Kuna Timu hazina hadhi ya kumiliki kombe la DuniaBelgium nimeipata nafasi kubwa kuchukua ndoo ila ndio hivyo tena, ni majaliwa ya maulana hapa
HatariiiiImelala dooroo...yeuwwiii
Belgium na England njia yao ilikuwa rahisi sana. Kipimo kipo hapa kwenye 16 boraHistoria lazima iandikwe.
hii ndio belgium mliotaka kuikutanisha na brazil?
hahaha mimi nipo Croatia, ila hata hawa Japan wameanza kunivutiaTeam Japan tutambuane sasa....maana wengi mlikuwa waoga
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] lukaku pita hapa
Please na Tim yako
Akina Toyota leo naona walilala uchiHatariiii