Hahahaha, pole sana best, usijali Brazil watakulipia kisasiNingemtandika bakora leo mpaka akome,uzembe wake ndio umesababisha haya.
[emoji23][emoji23]leo bet haifai kabisaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] msiwe mnabet jamani!!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Leo siku yako mama,nicheke tu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] jamani kagawa yule palehawa wajapani wanafananafanana, ukute wamebadili kikosi kizima half time hawa, sisi tunazani wale wale kumbe jezi tu ndio zile zile
Ngoja dk 90 zipiteKunywa maji
Hya mambo hayataki harak.Belgium nimeipata nafasi kubwa kuchukua ndoo ila ndio hivyo tena, ni majaliwa ya maulana hapa
Pia kuna hazard,de bruny, cjui wanafanya nn yan hao vimtu v fupi na havina mwili wanavishindwaNingemtandika bakora leo mpaka akome,uzembe wake ndio umesababisha haya.
Hahahaha, inawezekana kabisaahawa wajapani wanafananafanana, ukute wamebadili kikosi kizima half time hawa, sisi tunazani wale wale kumbe jezi tu ndio zile zile
Mwaka huu mauza uza tu mpk muda huu bingwa hajulikani
Yaani kubet ni kujipa presha tu!!![emoji23][emoji23]leo bet haifai kabisaa
Comments ni nyingi balaa...itakupa kazi kdogo ila utaipata tu.. Si sote timu JP??Naitafuta comment yangu moja niliiweka mapema
Mhindi namuona hapo anavyo subiri, kuzikusanya hela zake[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] msiwe mnabet jamani!!!
Hahahaha, pole sana best, usijali Brazil watakulipia kisasi