joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
HahahahaaMoja bila
Mimi naiquote tu, ukijakuifuata itaendelea kubaki hapa kwenye comment yanguOn paper, Ubelgiji alipewa nafasi ya kushinda goli nyingi, ila uwanjani habari ni tofauti.
World Cup hii inaenda ile style ya Leicester aliyochukua ubingwa wa EPL. Kuna timu isiyopewa nafasi itabeba ndoo hii.
Mark my comment!!
Mpira bado huu!!!Hahahahaa
Wamepata Moja BelgiumHazard alisema messi na ronaldo wametoka ndio wakati wake wa kufanya mambo naona balaa limemkuta nae
KumekuchaaaaMpira bado huu!!!
Hapana, true soldier never salender!Croatia na France wakitoka basi natundika daluga ya ushabiki kwenye WC hii.
Mungu baba tenda miujiuzaOhoooooooo yanaanza kurudi sasa [emoji39][emoji39]
teh teh teh....sawa mzee wa kuweka rekodi sawaMimi naiquote tu, ukijakuifuata itaendelea kubaki hapa kwenye comment yangu