Mtayajibu wenyewe tu [emoji1][emoji1][emoji125][emoji125][emoji125]Maswali yapo tu [emoji23][emoji23]
Aaaah-Brazil
-Spain
-France
-Germany
-England
This is my top five list.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sitaki maswali....
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
She is your girl?That's my girl
Usiwe kwa mkopo nitalipa pesa yeyote Ili usajili wako ukamilike
[emoji8][emoji8]
Sawa Babe [emoji131]That's my girl
Usiwe kwa mkopo nitalipa pesa yeyote Ili usajili wako ukamilike
[emoji8][emoji8]
Huyo Argentina atakuaibisha mapemaa me nakuambia...shauri yako[emoji23][emoji23][emoji23]Germany [emoji629]
Spain [emoji633]
Brazil [emoji1054]
Argentina [emoji1033]
France [emoji1105]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata England hana kituPortugal hamna kitu...akikutanishwa na Spain au England lazima aseme bye [emoji2]
acha uchawi braza [emoji19][emoji19][emoji20][emoji19][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mtafungwa tena this time mbona utachukia sanaa
HahahahaKwenye Kombe hili tuko pamoja. Hapa hatujatengana tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana, najua kwann nimewaweka hapo...Watoe england mkuu
Asante sanaHabari Zenu Wapenzi Wa soka Wote.
Nawakaribisha Katika Thread Hii Maalumu Kabisa Kwaajili Ya Kombe La Dunia Mwaka Huu 2018.
kwakifupi Humu Tutabadilishana Mawili Matatu Yanayohusu KOMBE LA DUNIA
(FIFA WORLD CUP]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]acha uchawi braza [emoji19][emoji19][emoji20][emoji19]
hatutaki ugonjwa wa moyo ss aah![emoji23][emoji23][emoji23]Nyie mbona mna timu nyingi hvo[emoji23]
Subiri uone..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata England hana kitu
This time kuna madogo wengi wapo vizuri kwhyo sitarajii tena kupata mfadhaiko wa moyo...[emoji12][emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio ukweli huo
Hongereni [emoji122] [emoji122] [emoji122]Sawa Babe [emoji131]
Na sisi kwetu wapo wengine wazuriThis time kuna madogo wengi wapo vizuri kwhyo sitarajii tena kupata mfadhaiko wa moyo...[emoji12][emoji12]
Hahaaaa acha hizoHahahaha
Ila nyie mna timu nyingi mno
Katika tim 32
Ukiwa naO 6 thats too many[emoji2]
Kwa nn mkuuHapana, najua kwann nimewaweka hapo...
Mmmh! Naomba kujua kikosi chenu kwanza...Na sisi kwetu wapo wengine wazuri