Umeamini?!!!mpira bado huuKumekuchaaaa
Pia kuna hazard,de bruny, cjui wanafanya nn yan hao vimtu v fupi na havina mwili wanavishindwa
Wajinga sana hao wamejiset wenyeweJapana wana mechi ya kitoto ambayo haikeshi wala kulala na pipi [emoji3][emoji3][emoji3]
Unaongozaje 2-0 zinarudi zote?
Badooo kabisa lazima tuwapakateUmeamini?!!!moira bado huu
[emoji23][emoji23]Mkubwa Fella kwa mipira ile hakuachi na Wajapani walivyo warefu kwenda chini ndo kabisaaaa
I told uBadooo kabisa lazima tuwapakate
Oh yeahI told u
Naitafuta comment yangu moja niliiweka mapema
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Vipi unasemaje Mkuu? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wajapan wamevimbiwa matokeo
Mwaka wa Brazil huu
Haa haa haa umeamkaNasema hivii "mtoto yake nepi tuu"