Nakwambia kaka.Subiri uone..
Tuna wachezaji jama 40 hivi wanafaa kuwa kikosi cha kwanzaMmmh! Naomba kujua kikosi chenu kwanza...
Karibu [emoji23][emoji23]Hongereni [emoji122] [emoji122] [emoji122]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahaaaa acha hizo
Mr Miller kasema hatutaki Heart attack [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mpunguze tim
Mjiamini na tim zenu
sawaa nipo hapa dada...muda utaongeaNakwambia kaka.
wacha bwanaa [emoji2][emoji2]Tuna wachezaji jama 40 hivi wanafaa kuwa kikosi cha kwanza
Yaan kocha atakuwa anachanganyikiwa
Sema kombe la Brazil sio la duniaHabari Zenu Wapenzi Wa soka Wote.
Nawakaribisha Katika Thread Hii Maalumu Kabisa Kwaajili Ya Kombe La Dunia Mwaka Huu 2018.
kwakifupi Humu Tutabadilishana Mawili Matatu Yanayohusu KOMBE LA DUNIA
(FIFA WORLD CUP]
kabisaa [emoji4][emoji4]Mr Miller kasema hatutaki Heart attack [emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo bwana [emoji23][emoji23]Sema ahsante
Kwenu siji mimi [emoji2]
Kabisasawaa nipo hapa dada...muda utaongea
Kweli unakumbuka kile kikosi cha mwaka jana kilicho beba confedwacha bwanaa [emoji2][emoji2]
[emoji134][emoji134][emoji134]Kweli unakumbuka kile kikosi cha mwaka jana kilicho beba confed
Wengi tu hawaendi
Karibu Spain, hutojutia...Italy iliniuma sana hata sijui niende pande zipi. Lakini wajerumani wanatisha
Nina Germany [emoji23][emoji23]Huyo Argentina atakuaibisha mapemaa me nakuambia...shauri yako[emoji23][emoji23][emoji23]