Mimi sijui mpira saana... ila Brazil wanakikosi kizuri na combination yao ni nzuri saana.Wapo kwenye upande mrahisi wa kufika fainali,tofauti na france,belgium,na brazil
AiseeeNaona tayari
Yaani we acha tu tcraeri walizingua.Nimefurahi kuona upo,after good 4 yearstupo mamy jana na leo japo tisiaraei wametuchelewesha .....hakuna siku niliikumbuka jf kama siku ile wakoloni wetu walidhalilishwa na wakorea
Hali si haliAiseee
Waswedish wana block nzuri... hawa jamaawamepata kona zaidi ya kumi ila zinapanguliwa tu.Embolo anayeyusha Waswis
Mpaka weweAiseee
Muingereza aende tu.COLOMBIA
Mpanda kahawaRadamel Falcao
Mapema tu anaondoka ladha hakuna kwa waingerezaMuingereza aende tu.
sana tuuuu...Team Pablo Escobar lazima wampandishe ndege England