Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
[emoji23][emoji23]Hahaha
Dk 90 zitasema...Colombia anachapwa bila shida
I mean team zake za ligi....
Uingereza inashinda!Mapema tu anaondoka ladha hakuna kwa waingereza
Mmh, tatizo England mipango butuColombia anachapwa bila shida
HatariHuyu Qintero sijui kaingia na futi, manake hapotezi pasi.
Hao ni wakoloni wazur[emoji1] ...sio kama watu wa Hitler..Wee hutaki mkoloni wetu ang'atuke eeh!?
Ww hujaona dalili yoyote ya England kuipiku Spain??Wale watu kila siku watakuwa juu man. Kule kwao football, music na nice food ndio vitu vinavyofanya maisha yaende
Me naona mkoloni mkoloni tuu...Hao ni wakoloni wazur[emoji1] ...sio kama watu wa Hitler..
Heri nusu Shari kuliko Shari kamili...Me naona mkoloni mkoloni tuu...
Asee anapiga ndonga balaa.....anaonekana ni mdedli ktk hiyo sekta....Naona Huyu Beki Yeri Mina hatari Sana anapiga vichwa hatari