Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

England walianza poa sana hii mechi. walitakiwa waimalize mapema
 
Colombia seem to have the momentum now. They’re feeling themselves...

That equalizer seems to have sapped England’s energy.
Kama wakienda penaliti England washukuru. Hawana Energy kabisa, kiungo kimekufa hakuna mawasiliano
Goli limewashtua na sasa wanafikiri kuzuia kuliko kushambulia

Eng wanamtegemea Kane, Columbia wamebaini hilo na kumweka chini ya ulinzi
 
England are weak and can score only from penalty[emoji460]
 
Kwa nini James Rodriguez hakai kwenye bench anaenda kukaa kwa mashabiki huku kwenye kikos cha Sub katajwa?
Huyo ni mzalendo bana muache apige vigelegele huko akitaka sub ataitwa
 
Watu wanalalamika kuhusu refa. Ukweli ni kuwa refa hana tatizo, hata penaliti aliyotoa ilipaswa kuwa na red card. Columbia walitambua njia rahisi ya kuwatibua England ni ubabe
Kile kichwa ilitakiwa kuwa red card. Ukiangalia hakuna timu iliyobebwa

Refa amelazimika kumwaga kadi ili kudhibiti ubabe. Utaona wababe wa pande zote waliopigwa kadi wanacheza taratibu na game imetulia kidogo.

Columbia wamefanikiwa kuwafanya England wacheze mchezo wao na si ile kasi ya PL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…