Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Kikosi kamili cha Brazil:
Walinda lango: Alisson (Roma), Ederson (Manchester City), Cassio (Corinthians).
Mabeki: Danilo (Manchester City), Fagner (Corinthians), Marcelo (Real Madrid), Filipe Luis (Atletico Madrid), Thiago Silva, Marquinhos (both PSG), Miranda (Inter Milan), Pedro Geromel (Gremio).
Viungo wa kati: Casemiro (Real Madrid), Fernandinho (Manchester City), Paulinho (Barcelona), Fred (Shakhtar Donetsk), Renato Augusto (Beijing Guoan), Philippe Coutinho (Barcelona), Willian (Chelsea), Douglas Costa (Juventus).

Washambuliaji: Neymar (PSG), Taison (Shakhtar Donetsk), Gabriel Jesus (Manchester City), Roberto Firmino (Liverpool).
 
Afrika Nipogo Misri asante Mo salah kuturudisha kwenye ushindani tulipotea sana.
Ughaibuni nilikuwaga Brazil ila toka 2010 nikawatema sinaga mahaba sana na wengine zaidi ya ushabik wa muda hasa kwa MEXICO,UHOLANZI na GERMANY.
Ila mwaka huu nashabikia TIMU ZA AFRIKA ZOTE. Wazungu nawatema
 
Brazil ni Team peke isiyohitaji kubeba mashabiki wake kutoka nchini kwake kwenda ugenini,huwa mashabiki wake wanakwakuta huko huko Uwanjani tena wakiwa wevaa jezi zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…