Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Russia imetengeneza mobile application ya game kwenye smartphone ambayo watoto wa Ukraine wanaotaka kushiriki kucheza wanajisajili na kuingia kwenye kucheza game.
Washiriki wa game hilo wanapewa maelekezo ya kuchagua boksi lenye zawadi ndani yake kisha zawadi utazokuta ndani yake unabadilishiwa kwa kupewa pesa za mtandaoni (electronic money).
Ili kuweza kuona maboksi hayo yenye zawadi tofauti, watoto (washiriki wa mchezo huo) wanaelekezwa wapige picha kwenye mandhari zinazowazunguka zioneshe miundombinu yoyote ya kijeshi iliyopo. Baada ya kupiga picha, washiriki wanatakiwa wa-upload picha hizo pamoja na latitudes/longitudes za sehemu husika kwenye database ya game hiyo.
Kupitia hivyo jamaa (wajeda wa Russia) wanapata taarifa za sehemu kuliko na miundombinu ya kijeshi au wanajeshi wa Ukraine walipojificha na hivyo majeshi ya Russia yanapelekeka moto mkali wa mvua za makombora na mizinga kwenye sehemu zenye wanajeshi au mindombinu ya jeshi la Ukraine.
Shikamoo Russia🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
=======