Russia yasema itaishambulia S-300 ya Slovakia itayokuwa ikipelekwa Ukraine

marekani na NATO yao ,wameua Sana tu au unajifanya ubongo wako hauna kumbukumbu !? mbona hukumuita marekani muuaji!!??, USA walimuua rais wa Libya ambaye alisisitiza Africa inunue satellite yake ,na wazo la afrika iwe na single currency . marekani hawakuishia hapo wameua Sana tu Syria ,Afghanistan ,vietnam na maeneo mengi. je hapo utamuita marekani malaika sio!!!
 
Putin mbona anawalea sana waukraine au anaogopa kuacha historia mbaya ndio maana anakwenda mwendo wa tortoise
Sio eti anawalea, vita ni vigumu na amezidiwa hadi ameweka sheria ngumu dhidi ya vyombo vya habari nchini mwake hadi sasa Kyiv anaiona tu kama sisi tunavyoiona na majenerali wanaisha.

NB: Amebisha mlango China kuomba msaada. Usicheze na vita bwana.
 
Jifunze kusoma na kuelewa ulichosoma,acha brabra za kitoto,
 
Kwanza alisema yeyote atakaisaidia Ukraine cha moto atakiona,kinyume chake tumeshuhudia misaada ya kijeshi na kifedha ikipelekwa Ukraine hadharani na mpaka sasa hakuna chochote alichokifanya.
Putin hawezi kupeleka ujinga wake Nato na hilo analijua fika.

Jenerali moja mstaafu wa Uingereza ameshauri kwamba akiichokoza Nato wakati wanampiga wasifikirie kabisa swala la nyuklia ili wampige vizuri kwani hawezi kujibu kwa nyuklia ni vitisho vyake tu kwani ana asili hiyo.

NB: Ukitumia nyuklia wewe ndio unakuwa wa kwanza kufa kabla ya maadui zako. Hakuna mrussia atakayekubali huo ujinga wa Putin.
 
Ndio shida yenu watu wa kukariri na ambao hawapendi kusoma. Austria wana bahari....!!! Ungekuwa mahakamani umeshapoteza kesi asubuhi.
 
kama WW3 haitatokea mwaka huu au ujao, haitakuja kutokea tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…