Russian investors seek to start diamond cutting business in Nairobi

Alpha

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2007
Posts
688
Reaction score
335
I might be mistaken but i don't believe Kenya has diamonds. So why is it this center cannot be setup in TZ since they will be using our diamonds. Why can't our people benefit from the jobs, training etc. Its time we completely banned the export of raw precious stones


http://www.kbc.co.ke/story.asp?ID=49809
 
Mi nikiwaambia watu inabidi tuongezee knowledge work pale tulipoishia na commodities zetu watu wanasema oooh.

Sasa Kenya inawezekana Nairobi kukawa na network kubwa ya wanunuzi tayari, kukawa na wawekezaji wanaoweza kufanya hii kazi tayari.Sie ambao tuna advantage ya kuwa nazo almasi tunafanya nini?
 
Mara nyingi tunapigana na matokeo ya matatizo yetu, na sio msingi wake. Kama anavyodokeza Pundit, msingi wa matatizo yetu, karibu yote, ni ELIMU NDOGO. Watu wanawekeza penye skilled labor force, umeme na maji. Yote hayo ni matatizo kwetu. Na kila kukicha tunagundua kwamba kuna viongozi wameshatutumbukiza kwenye lindi kubwa zaidi la matatizo ya umeme. Nani atajenga kiwanda mahali kama hapo?

Kenyatta aliwahi kusema: "Kama unaona mutu imelala, nyonya yeye". Alisema hivyo wakati ule wa miaka ya sabini. Wakati huo, sisi tulikuwa tukisema "Kenya is a society where man eats man". Wakenya walikiuwa wanajibu mapigo kwa kusema: "Tanzania is a society where man eats nothing".

Miaka ya sabini, Kenyatta alizunguka Kenya yote akijenga "Shule za Harambee!" Nyerere alizunguka Tanzania akikamata kwa nguvu vijishule vichache vya Harambee vilivyokuweko, na akikataza visijengwe vingine.

We are harvesting what we sowed. Tunauza raw diamonds. Wakenya na Warusi wakinunua wakaenda kuzikatia Kenya kuna mbaya gani? Kama tunataka tukataze kabisa uuzaji wa uncut precious stones (hasa almasi na tanzanite). Mramba alipendekeza sheria kama hiyo miaka michache iliyopita lakini Waziri aliyehusika na madini (Daniel Yona) akapinga vikali.

There has been a false start in Tanzania. We need a new beginning. No amount of mending will solve our woes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…