Takwimu official: USA anaagiza 3% tu ya mafuta yote yanayotumika nchini mwao kutoka Urusi....sehemu kubwa ya mafuta ni kutoka hapo jirani Canada!
Sasa kama wewe sio mtu wa mihemko jiulize nini kilifanya mafuta yakapanda mara mbili ya bei ya awali wakati Canada hapo jirani hakuna vita Wala nini!
Tafakari Sana, hii Dunia inaendeshwa na kakundi kadogo ka majambazi (sio panya buku wetu akina Mkwere na Makamba)