Rutashubanyuma Unatisha!

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2010
Posts
11,763
Reaction score
4,041
Napenda kuchukua fursa hii, kumpongeza mr Rutashubanyuma kwa michango mingi aliyoitoa kwa kipindi kifupi,na mbali ya wingi wa michango hiyo,pia imekuwa michango ya muhimu katika kuelimisha jamii.Maana waswahili wanasema wingi si hoja,kinachohitajika zaidi ni ubora,lakini kwa Mr Rutashubanyuma, michango yake imekuwa na sifa zote mbili yaani ni mingi na yenye ubora wa kutosha.Sina uzoefu mkubwa sana hapa JF,lakini kwa kipindi kifupi nilichokuwepo hapa sijapata kuona mtu aliyeweza kuandika posti nyingi kwa siku kama mr Rutashubanyuma .Wastani wake wa kuandika posti kwa siku ni 97,hakika huu ni uwezo mkubwa sana.Hongera sana mkuu na endelea na juhudi zako katika kuelimisha jamii.
Nawasilisha
 
Mbna kama haupo serious ,yani unampongeza ktk jukwaa la jokes na utani duh,tafuta venue ya congrats na complains au vje bwana tukutuku
 
Nipo serious mkuu,nafikiri itakuwa ni kosa la categorisation!nashukuru kwa kunikumbusha hilo!!
 
Nipo serious mkuu,nafikiri itakuwa ni kosa la categorisation!nashukuru kwa kunikumbusha hilo!!

okey bwana mzee,najua kuwa inawezekana kuwa umepitiwa tu ,usijali mkuu pole na kuchanganyikiwa na maisha ya tz ,yani kila kitu chaenda vuluvulu ,kodi juu,umeme juu ,maisha juu yani kero tupu,pole kwa kupotea njia bt pia mpe my congrats rutabashanyuma kwa kufanya contributions nyingi,pamoja kama jicho na kope.
 
Poa mkuu!aminia!
 
watu wanatisha ina maana anakaa na kompyuta siku nzima? 97 daily si mchezo
 
Duuh! hii speed ni kiboko.
 
Umesahau....na mabomu juu...

Nahisi mkuu TukuTuku ana madhara ya kisaikolojia ya mlipuko wa gongo la mboto...teheteh (Jukwaa sahihi kwa post kama hii)

Get well soon 2ku2ku
 
Umesahau....na mabomu juu...

Nahisi mkuu TukuTuku ana madhara ya kisaikolojia ya mlipuko wa gongo la mboto...teheteh (Jukwaa sahihi kwa post kama hii)

Get well soon 2ku2ku

Mkwere huyo kashapaa zake yupo mauritania anafanya nini?yeye ishu ya gombs hana habari nayo kabisa,lol lord help us
 
Umesahau....na mabomu juu...

Nahisi mkuu TukuTuku ana madhara ya kisaikolojia ya mlipuko wa gongo la mboto...teheteh (Jukwaa sahihi kwa post kama hii)

Get well soon 2ku2ku
Nashukuru kwa kuniombea nipone haraka,lakini usisahau kujiombea inawezekana na wewe ni mgonjwa kama mimi lakini hujijiu!!
 
Nashukuru kwa kuniombea nipone haraka,lakini usisahau kujiombea inawezekana na wewe ni mgonjwa kama mimi lakini hujijiu!!

Jamani acheni kulumbana, hivi hata hili linahitaji msuruhishi?:decision:
 
watu wanatisha ina maana anakaa na kompyuta siku nzima? 97 daily si mchezo

Inaonekana jamaa kila mara anakua karibu na mtandao.Nahisi atakuwa anatumia internet iliyounganishwa na simu yake ya mkononi!!!
 
Jamani acheni kulumbana, hivi hata hili linahitaji msuruhishi?:decision:

Ahahaha!mkuu jitolee kuwa msuluhishi wetu ,kama JK alivyojitolea kuwa msuluhishi wa Ivory Coast,Mungu atakubariki!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…