Rutashubanyuma Unatisha!


mhhh! this isn't it!
 
Hivi ruta hadi leo hajaiona hii thread! mbona haji kupokea hongera zake!!
 
Rutashubanyuma hana kazi ya kufanya ndo mana siku nzima amekaa anatuma post. Mtu kama huyo ni hatari kwa Taifa hoi kama bongokand ha ha ha
 
sasa umesema mwenyewe waswahl wana sema wing c bora je inachangiwa ila duh! Huyu Ruta... Atakuwa hanakaz ya kufanya zaid ya kuandka hz post au ndo walewalio pga FLD shule za kata hv sasa wanarisit ndo mana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…