and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
1. Kutokubalika kwa sera zake za Kodi mpya kila kukicha na mauaji yanayoendelea ingefaa Dkt. Ruto apumzike kupisha uchaguzi Mkuu mpya.
2. Kenya inastahili Rais mpya mwenye maono na Sera mpya.
3. Kuendelea kushupaza shingo. Ni kuruhusu mauaji zaidi na mdororo wa uchumi
2. Kenya inastahili Rais mpya mwenye maono na Sera mpya.
3. Kuendelea kushupaza shingo. Ni kuruhusu mauaji zaidi na mdororo wa uchumi