johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wakenya sasa wanamwita Rais wao kwa jina la Flying President au Mr Tangatanga kutokana na Muda mwingi kwa Safarini
Hivi Karibuni Rais Ruto alikuwa Marekani kwa Mwaliko wa Rais Biden kisha akaelekea Korea Kusini na sasa yuko Italy kwa Mwaliko wa G7
Source Citizen TV