BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Mgombea Urais kupitia UDA, William Ruto anaongoza kwa idadi ya Kura dhidi ya Mgombea wa Azimio, Raila Odinga kwa mujibu wa takwimu za Nation Media. Hadi kufikia saa 12:00 jioni leo, Ruto alikua na Kura 6,676,809 (50.20) akifuatiwa na Raila Odinga mwenye Kura 6,534,171 (49.13)
Takwimu hizo zinaonesha jumla ya Kura 13,300,864 zimehesabiwa kutoka vituo 41,245 kati ya vituo 46,229
Chama cha Mgombea Urais William Ruto, United Democratic Alliance (UDA) kimenyakua viti vyote vya Ubunge kwenye Kaunti ya Kirinyaga. Kirinyaga ni eneo analotokea Martha Karua, Mgombea Mwenza wa Muungano wa Azimio la Umoja One.
Majimbo yote manne ambayo ni Kirinyaga ya Kati, Gichugu, Ndia na Mwea yamechukuliwa na Wagombea wa UDA.
-----------------
Deputy President William Ruto's United Democratic Alliance (UDA) has swept up all the parliamentary seats in Kirinyaga County.
The party handed Raila Odinga's Azimio la Umoja One Kenya Coalition a humiliating defeat in the region which is also his running mate Martha Karua's backyard.
In all the four constituencies, namely Kirinyaga Central, Gichugu, Ndia and Mwea, UDA candidates bagged all the Parliamentary seats.