CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Hii ina Inspire sana, na Kiongozi kama huyu akifuatwa na wakulima wakwamwambia kwamba Bei za vyakula vya mifugo ziko juu, anaelewa wanacho manisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa hajaanza kufuga akiwa Raisi, anafuga na kazi yake ya kwanza ilikuwa ni kuku, so ufugaji uko Damuni,Ukiwa na wadhifa hakuna kinacho shindikana unaweza fuga hata mende sawa ukawa kivutio
Hata na hivyo ni Raisi ila ufugaji anafanya kitambo sana hata kabla hajawa Makapo wa Raisi yaani kitambo sanaAtabaki kuwa rais tuu
Hata na hivyo ni Raisi ila ufugaji anafanya kitambo sana hata kabla hajawa Makapo wa Raisi yaani kitambo sana
Nimegundua kwanini uraisi mtu akishaingia kuchomoka inakuwa kwa mbinde sana...Hii ina Inspire sana, na Kiongozi kama huyu akifuatwa na wakulima wakwamwambia kwamba Bei za vyakula vya mifugo ziko juu, anaelewa wanacho manisha.View attachment 2456861View attachment 2456862View attachment 2456864View attachment 2456865View attachment 2456866View attachment 2456867View attachment 2456868
Kuna semen zinapatikana Tanzania..naona ng'ombe wa Mzee Ruto ni Fresian.
..nilitarajia kuona akifuga Fleckvieh.
NB:
.. CHASHA FARMING niliku-tag kuhusu tangazo kwamba MkulimaSmart wanaweza kuagiza Fleckvieh toka Kenya na kuwafikisha kwa wateja walioko Tanzania.
Kuna semen zinapatikana Tanzania
Unawataka?..wasambazaji wa semen za fleckvieh hapa Tanzania ni kampuni gani?
Tanzania sehemu gani?Kuna semen zinapatikana Tanzania
Unawataka?
NAIC Arusha panaitwa DannishTanzania sehemu gani?
Sahihi kabisa mkuu.Ukiwa na wadhifa hakuna kinacho shindikana unaweza fuga hata mende sawa ukawa kivutio