Ruto akiwa shambani kwake Sugoi kwa mapunziko

Hata na hivyo ni Raisi ila ufugaji anafanya kitambo sana hata kabla hajawa Makapo wa Raisi yaani kitambo sana

..naona ng'ombe wa Mzee Ruto ni Fresian.

..nilitarajia kuona akifuga Fleckvieh.

NB:

.. CHASHA FARMING niliku-tag kuhusu tangazo kwamba MkulimaSmart wanaweza kuagiza Fleckvieh toka Kenya na kuwafikisha kwa wateja walioko Tanzania.
 
Kuna semen zinapatikana Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…