johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Rais wa Jamuhuri ya Kenya, Dr.William Samoe Arap Kipchichiri Ruto ni miongni mwa wanasiasa wajanja sana barani Africa.Rais Rutto amesema kwa sababu ni nadra sana viongozi wa Africa Mashariki kukutana na Rais wawapo Marekani basi Rais Biden aelewe kukutana kwao ni kwa manufaa ya Marekani na Africa Mashariki
Biden naye kampongeza kwa Kutokuwa mbinafsi
Credit: BBC
Tanzania tumewakilishwa ππΉ
Weka video basi, usikute unatupanga tu.Rais Rutto amesema kwa sababu ni nadra sana viongozi wa Africa Mashariki kukutana na Rais wawapo Marekani basi Rais Biden aelewe kukutana kwao ni kwa manufaa ya Marekani na Africa Mashariki
Biden naye kampongeza kwa Kutokuwa mbinafsi
Credit: BBC
Tanzania tumewakilishwa ππΉ