Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
eehganda la muwa la jana chungu kaona kivuno ….jiwe lililokataliwa na waasi limekua jiwe kuu…..au Yusufu mtoto wa Yacobo alivouzwa na kaka zake utumwani akageuka mfalme….sisi hatuna muda wa kuthamini vitu vinavyotazamiwa kuja kuwa vizuri watoto wapo DIT na NIT pale wako so inovative ila kila siku wanagundua vitu hakuna muendelezo
ndioHii ina ukweli?
hii kweli kabisa ! Mabumunda yasiyojua kitu ndo utakuta yamekazana wanafanikiwa wachapa kaziWasomali hela nyingi wanazipata kwene ugaidi (black market), uharamia wa baharini ,madawa ya kulevya halafu wanaingia kenya wengine south Africa kwenda kuzitakatisha kwene biashara halali….
Ni wapumbavu pekee watabakia ooh wanaumoja,wanachangiana
Kwan AFRICA NZIMA WAO NDO WANAJUA KUCHANGIANA?
Unazijua vizuri jamii za Waafrika? Au unleta tu uharo wako. Afrika jamii zenye akili ni Cushites na Nilotes.Kwa wanaofuatilia Siasa za Kanda ya Ziwa mtakua pamoja namm kuiona pattern inayojichora ya Paul kagame,Mseveni na Ruto
Hatimaye Ruto kaingia kwene 18 za hawa jamaa saizi nayeye kaanza kupambana na wabantu.
Anahakikisha kenya haitakuja kutawaliwa na wabantu milele kwa kuwaweka mawazili wenye asili ya nilotic na wasomali.
VITA bado ni kali ukanda huu.
Wabantu ni watu wasio na umoja Africa nzima richa ya kuwa ndio wengi kwene ukanda wa subsahara lakini impact yao ni zero.
Kwanini wanachukiwa
Wabantu wanachukiwa kwa sababu uzao wao umebarikiwa
Nchi zao hazina vita
Nchi zao ndio zenye uchumi mkubwa
Nchi zao zinastawi kulinganisha na jamii nyingine
Uzao wao umetapakaa maeneo yote ya Africa hasa kusini mwa africa.
Somali politicians secure top positions in Kenya’s security apparatus
Mogadishu (HOL) - Ethnic Somali politicians from Kenya's North East region are gaining more clout in Kenyan President William Ruto’s government, particularly in the security sector.www.hiiraan.com
Hizi takwimu zako source ni wapi??Karibia East Africa 80% ni wabantu.
uwiiii hili popoma sijui limetokea wapi??Unazijua vizuri jamii za Waafrika? Au unleta tu uharo wako. Afrika jamii zenye akili ni Cushites na Nilotes.
Inategemeana anaongelea East africa community, East africa kama koloni la kenya,uganda na tanzania au anaongelea East africa kama ukandaHizi takwimu zako source ni wapi??
Niletee Mbantu Moja mwenye ubongo uliotimia.uwiiii hili popoma sijui limetokea wapi??
Wana IQ YA NGAPI KWA WASTAN??
au unaota
NyerereNiletee Mbantu Moja mwenye ubongo uliotimia.
Si siasa ila ukiangalia Ruto mentor wake ni PAKA na m7Hizi ni Propaganda...
tunachukiana kwasababu tunaogopana
tunaogopana kwa sababu hatujajuana
hatujuani kwasababu tunatengana
dunia ni nzuri.. walimwengu hawana maana
for sure sio rahisi kumpata aliyotimia kiakiliNiletee Mbantu Moja mwenye ubongo uliotimia.
Hujielewi ww??for sure sio rahisi kumpata aliyotimia kiakili
Hujielewi ww??
Nchi za kibantu ndio zinaongoza kiuchumi ukitoa za waarabu na nigeria
1.Nigeria
2.South africa
3.Egypt
4.Morocco
5.Ethiopia
6.Kenya (50% bantu)
7.Angola (95%bantu)
8.Cote diviore
9.Ghana
10. Tanzania (90% bantu)
Sasa onyesha hizo nchi zako za wasomali, zenye akili
Huwezi kua na akili ukawa masikini hata siku moja akili na utajiri ni sambamba