johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Rais mteule wa Kenya Dr. Ruto, amewashukuru wakenya kwa kumchagua kuwa Rais sawia na magavana, maseneta na wabunge wa Kenya Kwanza.
Ruto ametoa shukrani akiwa ibadani huko Nakuru.
Source: Citizen TV
Ruto ametoa shukrani akiwa ibadani huko Nakuru.
Source: Citizen TV