johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Badala ya kuhamasisha TOZO unahangaika na Siasa za Kenya TANZANIA haiziwezi kwani Wajinga ni WENGI sanaRais mteule wa Kenya Dr Ruto amewashukuru Wakenya kwa kumchagua kuwa Rais sawia na Magavana Maseneta na Wabunge wa Kenya Kwanza
Ruto ametoa shukrani akiwa Ibadani huko Nakuru
Source Citizen tv
Wewe unateswa no Tozo?Badala ya kuhamasisha TOZO unahangaika na Siasa za Kenya TANZANIA haiziwezi kwani Wajinga ni WENGI sana
Ruto na Raila Wote ni Watu wa CCMSiasa za Kenya huwa zinawachanganya sana. Leo Ruto ni mtu wenu?
Kila anayeshinda CCM husema ni rafiki yao. sifa za mnafiki ni tatu: anapozungumza husema uongo, anapotoa ahadi hatimizi, na anapoaminiwa hufanya hiyanaRuto na Raila Wote ni Watu wa CCM
Nimewaona Job na Freeman pale airport wanaelekea UK kwa Uchaguzi wa Conservative kesho
kenya level ya transparency iko juu...Rais mteule wa Kenya Dr. Ruto, amewashukuru wakenya kwa kumchagua kuwa Rais sawia na magavana, maseneta na wabunge wa Kenya Kwanza.
Ruto ametoa shukrani akiwa ibadani huko Nakuru.
Source: Citizen TV