Ruto anamuunga mkono Trump kuhusu utambuzi wa jinsia 2 pekee, Tanzania tunasemaje?

Ruto anamuunga mkono Trump kuhusu utambuzi wa jinsia 2 pekee, Tanzania tunasemaje?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tanzania kuna mrundikano mkubwa wa Machawa dalili ambayo siyo ya kufurahisha

Nimeona Ruto akiliambia Kanisa la Kenya kuwa Serikali yake inaungana na Rais Trump wa US katika kutambua Jenda mbili tu Mwanamume na Mwanamke kama ilivyo Kwenye Biblia.

Huku kauli ni moja tu "MITANO TENA KWA MAMA"

Alisikika chawa mmoja maarufu kwenye jukwaa la jamii.
 
Tanzania kuna mrundikano mkubwa wa Machawa dalili ambayo siyo ya kufurahisha

Nimeona Ruto akiliambia Kanisa la Kenya kuwa Serikali yake inaungana na Rais Trump wa US katika kutambua Jenda mbili tu Mwanamume na Mwanamke kama ilivyo Kwenye Biblia.
HAHAHAHA KA NCHI KANAONGOZWA NA WASAGAJI NA WAKOBOAJI AF UNATAKA WATOE TAMKO JUU YA MABASHA.
MAUJINGAUJINGA
 
Msimamo gani na sheria zipo tokea enzi za ukoloni kupinga mahusiano ya jinsia moja!!. Tunapenda kutoa umuhimu kwa vitu useless sana.
 
Upuuzi mtupu, tangu lini mwanaume aliyetimia anaambiwa "wewe kuwa mwanaume."? Na kama wapo wakuambiwa hivyo basi wakatwe vichwa Iran tu. no negotiations with LGBT's we send them to graves
 
Men must remain Men
Women must remain Women

Mambo ya Men kuingilia ama kuingiliwa na Men wenzie hayo sio mambo ya asili

Ama Mwanamke kumwingilia ama kuingiliwa na Mwanamke mwenzie sio mambo ya asili hayo

Tuendelee kuwaingilia Wanawake zetu ili kuendeleza Vizazi vyetu
 
Msimamo gani na sheria zipo tokea enzi za ukoloni kupinga mahusiano ya jinsia moja!!. Tunapenda kutoa umuhimu kwa vitu useless sana.
Kuna watu hata hamuelewi. Trump kusema anatambua sex mbili za mwanaume na Mwanamke haina maana anapingana na sera za Marekani za ushoga.

Anachopinga Trump
Ni hiyo inaitwa transgender Yaani mtu alikuwa mwanaume kuamua sasa ni mwanamke au alikuwa mwanamke sasa anajiita mwanaume.

Eleweni kibachoongelewa.
 
Tanzania kuna mrundikano mkubwa wa Machawa dalili ambayo siyo ya kufurahisha

Nimeona Ruto akiliambia Kanisa la Kenya kuwa Serikali yake inaungana na Rais Trump wa US katika kutambua Jenda mbili tu Mwanamume na Mwanamke kama ilivyo Kwenye Biblia.

Watu wanaenda na upepo 🤣🤣huyu si ndo aliekua rafiki mkubwa wa Biden na hadi ubalozi wa Kenya pale aliwekwa mtu wa Kamala......babu Biden hadi alimuachia kiti cha white house aweke kalio lake leo hii tena anapingana na walichopitisha maboss wake waliopita.........uchawa promax.......hawa ndo kamati ya ufundi ya babu biden kama wale wazee wa simba na yanga
 
Kihistoria, Kenya huaga wanaunga mkono everything from USA so hilo wala sio jambo la ajabu. Alicho kisema Ruto, sio lazima awe ana kiamini, kwa Kenya USA ni baba, watafatisha chochote kutoka kule; siwapongezi na wala simpongezi Ruto. By saying so, sina maana kwamba naunga mkono mambo ya ushoga, hayo mambo ni machukizo makubwa mno kwa muumba wetu, nayachukia but siwaungi mkono Wakenya kwa unafiki wao
 
Back
Top Bottom