Ruto apiga marufuku safari za nje ya nchi kwa Maafisa wa Serikali. Sasa watashiriki vikao kupitia 'Online'

Ruto apiga marufuku safari za nje ya nchi kwa Maafisa wa Serikali. Sasa watashiriki vikao kupitia 'Online'

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Katika hatua za kubana matumizi, Serikali ya Rais William Ruto imekusudia kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ambapo imesema haitalipia tena gharama za safari za nje ya Nchi za Maafisa wake kama za Mikutano ya Kielimu, Mafunzo, Utafiti, Maonesho, Matukio ya Kamati mbalimbali na Vyama

Taasisi za Umma zinazotaka kushiriki katika Matukio yaliyotajwa hapo juu zitatakiwa kuomba Ushiriki wa Kielektroniki 'online' au kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje na Diaspora kuhakikisha Ushiriki wa Maafisa wa Kidiplomasia waliopo katika nchi wanazotaka kwenda

Aidha, taarifa ya Kiongozi wa Huduma kwa Umma, Felix Koskei imefafanua hatua hiyo ni sehemu ya Mkakati wa kuleta udhibiti wa Bajeti na Sera za fedha wakati inajaribu kuboresha rasilimali zilizopo ili kutekeleza shughuli mbalimbali zinazohitajika kwa Maendeleo ya Kitaifa


..........


President William Ruto has slammed the brakes on non-essential travel by State officials as part of a fresh round of austerity measures aimed at curbing government spending amid biting financial constraints.

The latest development sees the immediate suspension of foreign travel by government officials as the Ruto administration seeks to curtail unnecessary expenditure.
In a memo issued yesterday by Chief of Staff and Head of the Public Service Felix Koskei, the government will no longer reimburse expenses incurred on trips taken for benchmarking and study visits, training and related capacity building initiatives, research, academic meetings and symposia undertaken by government officials

Others include conferences and meetings of general participation, side events and exhibitions, and meetings and events of committees and associations.

In addition, sponsored events that require a supplement in the form of a quarter per diem and ticket upgrade have also been suspended, unless the invitee specifically waives the expected upgrade amount.
Mr Koskei said the decision was necessitated by the need to reduce and prioritise expenditure by focusing on critical operations and activities that are essential to service delivery to Kenyans.

He argued that the move is part of the current fiscal consolidation and monetary policy strategies of the Kenya Kwanza government as it seeks to improve the resource envelope available to undertake the wide range of activities necessary for national and county development.

“Public institutions wishing to travel and participate in any of the pipeline events in the above categories are required to request for virtual participation where available and, alternatively, engage the Ministry of Foreign and Diaspora Affairs to ensure on-the-spot participation of diplomatic officials in the country of reference,” reads part of Mr Koskei's communication.

Source; Nation.Africa
 
Back
Top Bottom