Ruto asema serikali yake itaendelea kuchangia Kanisa hata kama Katoliki hawataki, kujenga Makanisa ni Baraka!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hapa Tanzania jana Prof Kabudi amesema Somo la Biblia liingizwe shuleni Watu wamebishabisha sana

Rais Ruto wa nchi jirani amesema maadili mema huanzia Kanisani hivyo serikali yake itaendelea kuchangia Ujenzi wa kanisa

Credit Citizen Tv

Mlale Unono πŸ˜€
 
Mwambie Ruto Mungu hapokei rushwa. Kazi ya kujenga nyumba za Ibada ni ya waumini wenyewe na siyo kutumia kodi za wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…