Ruto asifu PPP ya Kafulila asema yeye siyo kichaa hadi auze Airport

Wakenya hawawezi kukubali hasa hasa kipindi hiki, yaani waafrica tuna laana sana, Kila kitu hatuumizi akili ni kuwapa watu tu wakiendeshe.... Hivi nchi kama china mgeni unaweza kupewa Nini tu kizembe?
 
Kugawa Airport ni hatari sana ๐Ÿผ

Ila Ruto kaikodisha
 
PPP ya Kafulila imesifiwa na Rais Ruto wa Kenya akisema ni Uwekezaji wa Win- Win

Ruto amesema Aidan ya India watakodishwa Uwanja wa Ndege na Siyo kuuziwa kama inavyovumishwa mitaani

Source: Citizen TV
Pia soma hii ni kwa namna gani PPP ni game changer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ