johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nakubaliana na Dr Ruto na hasa ikizingatiwa Elon Musk sasa ni mshauri wa Rais wa Marekani Taifa lenye nguvu kabisa Duniani
Ruto amesema dhana ya dunia ni Kijiji siyo ya kufikirika ni jambo halisi hivyo Wanasiasa wa Africa wawe makini sana hasa wanapoingia Mikataba
Alikuwa akiwaambia Maseneta na Wabunge Kwa niaba ya Wanasiasa Wote wa Africa mashariki
Sabato njema 😃