Kujiunga na chama cha URP(united republican party) unatuma sms yenye jina na namba ya kitambulisho kwenda na maalumu. Kwa muda usiyozidi dakika utapata sms yenye namba yako ya uanachama wa URP. Hii kitu safi inaokoa muda na usumbufu wa kwenda hadi ofisi za chama.
Ni kweli mkuu. I hope itakuwa ni mwanga kwa cdm kujipanga na kujua vizuri mfumo huu, ili iturahisishie sisi wakeleketwa wake, kwani kwa sasa cdm inakubalika sana tz!