Ruto katumia tekiniki ya Shujaa Magufuli Enzi za UKUTA, Raila amejua Hajui Maandamano yadhibitiwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nakumbuka Wakati anayadhibiti maandamano ya UKUTA yaliyopangwa na Chadema Shujaa Magufuli alimwaga askari polisi kila kona Makamanda wa Ufipa st wakasalimu amri

Ndivyo imetokea Nairobi leo, Raila kila anakoenda polisi wa kutosha wanamfuatilia nyuma

Kiufupi Ruto ameyadhibiti maandamano hadi sasa!
 
Huyu mtu wamemlea sana ameshaanza kuwapanda kichwani. Ningekuwa Rais Ruto tayari sasa hivi angekuwa anawaza mambo mengine ya maana, na angekuwa ameshasahau kabisa kama aliwahi kuandamana
 
Nakumbuka Wakati anayadhibiti maandamano ya UKUTA yaliyopangwa na Chadema Shujaa Magufuli alimwaga askari polisi kila kona Makamanda wa Ufipa st wakasalimu amri

Ndivyo imetokea Nairobi leo, Raila kila anakoenda polisi wa kutosha wanamfuatilia nyuma

Kiufupi Ruto ameyadhibiti maandamano hadi sasa!
Hapo umekosea ulitakiwa kusema shujaa magufuli alivyo dhibiti maandamano ya wahuni wa chadema ya UKUTA .....naunga mkono hoja[emoji1787]
 
Alidhibiti Nini? Au uoga?. Rais mzima unaogopa wapinzani mpaka unaingiza JWTZ kwenye maandamano. Bora alikufa kibudu mjinga yule.
 
Back
Top Bottom