johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
ππππ Sipiriani?!!!Jo wadau humu wanakuona wewe ndiye mdaiwa/mshukiwa mfilisiwa mtarajiwa wa majembe/Yono auction martπ
VERY POSSIBLEJo wadau humu wanakuona wewe ndiye mdaiwa/mshukiwa mfilisiwa mtarajiwa wa majembe/Yono auction martπ
Unachanganya kaka! Huyu ni yule wa star TV....anajiitaga mtozVERY POSSIBLE
πππVERY POSSIBLE
Unasema ya me zuiliwa wakati wanaandamana huko
suK gang kichaa kinakurudia..
Hapo umekosea ulitakiwa kusema shujaa magufuli alivyo dhibiti maandamano ya wahuni wa chadema ya UKUTA .....naunga mkono hoja[emoji1787]Nakumbuka Wakati anayadhibiti maandamano ya UKUTA yaliyopangwa na Chadema Shujaa Magufuli alimwaga askari polisi kila kona Makamanda wa Ufipa st wakasalimu amri
Ndivyo imetokea Nairobi leo, Raila kila anakoenda polisi wa kutosha wanamfuatilia nyuma
Kiufupi Ruto ameyadhibiti maandamano hadi sasa!
Alidhibiti Nini? Au uoga?. Rais mzima unaogopa wapinzani mpaka unaingiza JWTZ kwenye maandamano. Bora alikufa kibudu mjinga yule.Hapo umekosea ulitakiwa kusema shujaa magufuli alivyo dhibiti maandamano ya wahuni wa chadema ya UKUTA .....naunga mkono hoja[emoji1787]