johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mlima ukiwa na Nguvu Moja ni lazima Rais atoke Ukikuyu utake usitake
Ni kama 2020 hapa Tanzania Kanda ya Ziwa yenye 35% ya Wapiga Kura wote Shujaa Magufuli aliiunganisha na kupata Ushindi wa kihistoria wa 84%
Gachagua alitaka kukopa Magufulication kujiandaa na uchaguzi wa 2027 Lakini Ruto amemuwahi na sasa Mlima una Vinara 4 wanaojitegemea ambao ni Anna Waigiru, Prof Kindiki, Bwashee Nyoro na Rig G
Mlima kwisha Habari yake 😂