johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wakikuyu ni sawa na Wachagga ,pesa na ukabila mbeleMlima ukiwa na Nguvu Moja ni lazima Rais atoke Ukikuyu utake usitake
Ni kama 2020 hapa Tanzania Kanda ya Ziwa yenye 35% ya Wapiga Kura wote Shujaa Magufuli aliiunganisha na kupata Ushindi wa kihistoria wa 84%
Gachagua alitaka kukopa Magufulication kujiandaa na uchaguzi wa 2027 Lakini Ruto amemuwahi na sasa Mlima una Vinara 4 wanaojitegemea ambao ni Anna Waigiru, Prof Kindiki, Bwashee Nyoro na Rig G
Mlima kwisha Habari yake π
Sahihi Kabisa πWakikuyu ni sawa na Wachagga ,pesa na ukabila mbele
USSR
Acha unafki.Wakikuyu ni sawa na Wachagga ,pesa na ukabila mbele
USSR
Hakuna siku inapita bila mchaga kutajwa kwenye mitandao hapa Tanzania,wakati kuna makabila zaidi ya 130.Unagundua kuna kitu kizuri wamebeba tofauti na wengine.Wakikuyu ni sawa na Wachagga ,pesa na ukabila mbele
USSR
Haiwezekani watu wanawachukia hata bila kosa.Upigaji kwa sasa ni mkubwa mno ila wapigaji hawaitwi wezi!!Ila mchaga anaitwa mwizi shida ni ubaya wa jina nafkiri,ila wako poa tu!!Vipi wakaungana na kusimamisha mmoja
Siyo rahisi πVipi wakaungana na kusimamisha mmoja
Zile hips za dada zao aisee mimi hoi japo miguu kama fitoHakuna siku inapita bila mchaga kutajwa kwenye mitandao hapa Tanzania,wakati kuna makabila zaidi ya 130.Unagundua kuna kitu kizuri wamebeba tofauti na wengine.
Fito πππZile hips za dada zao aisee mimi hoi japo miguu kama fito
Fanya utafiti wako vizuri mkikuyu huwezi mnunua. Watu wanakana muswada huko!!Mlima ukiwa na Nguvu Moja ni lazima Rais atoke Ukikuyu utake usitake
Ni kama 2020 hapa Tanzania Kanda ya Ziwa yenye 35% ya Wapiga Kura wote Shujaa Magufuli aliiunganisha na kupata Ushindi wa kihistoria wa 84%
Gachagua alitaka kukopa Magufulication kujiandaa na uchaguzi wa 2027 Lakini Ruto amemuwahi na sasa Mlima una Vinara 4 wanaojitegemea ambao ni Anna Waigiru, Prof Kindiki, Bwashee Nyoro na Rig G
Mlima kwisha Habari yake π
Ngoja tuoneFanya utafiti wako vizuri mkikuyu huwezi mnunua. Watu wanakana muswada huko!!
Wachagga wameharibiwa na na hii SACCOS ila wapo wazuri tu na ni wachapa kazi ila sasa wale ambao wamekosa kazi ya kufanya wakikimbilia SACCOS hakika wanaharibu mazuri yote tulio nayo kama MangiβsHakuna siku inapita bila mchaga kutajwa kwenye mitandao hapa Tanzania,wakati kuna makabila zaidi ya 130.Unagundua kuna kitu kizuri wamebeba tofauti na wengine.
HowMlima ukiwa na Nguvu Moja ni lazima Rais atoke Ukikuyu utake usitake
Ni kama 2020 hapa Tanzania Kanda ya Ziwa yenye 35% ya Wapiga Kura wote Shujaa Magufuli aliiunganisha na kupata Ushindi wa kihistoria wa 84%
Gachagua alitaka kukopa Magufulication kujiandaa na uchaguzi wa 2027 Lakini Ruto amemuwahi na sasa Mlima una Vinara 4 wanaojitegemea ambao ni Anna Waigiru, Prof Kindiki, Bwashee Nyoro na Rig G
Mlima kwisha Habari yake π
Mara bao la mkono Mara kashinda, tukuamini wewe au Nape?Mlima ukiwa na Nguvu Moja ni lazima Rais atoke Ukikuyu utake usitake
Ni kama 2020 hapa Tanzania Kanda ya Ziwa yenye 35% ya Wapiga Kura wote Shujaa Magufuli aliiunganisha na kupata Ushindi wa kihistoria wa 84%
Gachagua alitaka kukopa Magufulication kujiandaa na uchaguzi wa 2027 Lakini Ruto amemuwahi na sasa Mlima una Vinara 4 wanaojitegemea ambao ni Anna Waigiru, Prof Kindiki, Bwashee Nyoro na Rig G
Mlima kwisha Habari yake π
NEC πMara bao la mkono Mara kashinda, tukuamini wewe au Nape?