Ruto kuachana na Ruzuku ya Mafuta ya Petrol na Diesel asema inadhoofisha serikali

Ruto kuachana na Ruzuku ya Mafuta ya Petrol na Diesel asema inadhoofisha serikali

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais Ruto amesema serikali yake itaachana na ruzuku ya mafuta ya petrol na diesel na badala yake itaimarisha kilimo cha mahindi kwa kuweka ruzuku kwenye mbolea

Source: Dira ya Dunia, BBC
 
Rais Ruto amesema serikali yake itaachana na Ruzuku ya Mafuta ya petrol na Diesel na badala yake itaimarisha kilimo cha Mahindi kwa kuweka Ruzuku Kwenye Mbolea

Source BBC Dira ya Dunia
Kwa Tzn mlivyo na mdomo serikali ikisema itoe si mtaangua kilio hadi mkome?

Ukweli ni kwamba IMF inapinga ruzuku Huko Kenya Kwa sababu deni la Nchi ni kubwa na wanakopa kwa ajili hiyo..
 
Rais Ruto amesema serikali yake itaachana na Ruzuku ya Mafuta ya petrol na Diesel na badala yake itaimarisha kilimo cha Mahindi kwa kuweka Ruzuku Kwenye Mbolea

Source BBC Dira ya Dunia
Kuujua huu mchezo inabidi uusome tokea 360⁰
Ruto ni kabaila. Yeye binafsi anaongoza kwa kulima na kuzalisha mahindi Kenya yote. Anavutia kwake.

Mafuta ni biashara ya Uhuru na Raila

Kila mwaka kenya kuna ukame sijui hilo kama kalifikiria shida sio ruzuku ya mbolea huyu rais inabidi atulie kwanza kabla hajaingia field mana yale kipindi cha kampeni ni nadhalia tu
Si alikuwa ikulu?
 
Kuujua huu mchezo inabidi uusome tokea 360⁰
Ruto ni kabaila. Yeye binafsi anaongoza kwa kulima na kuzalisha mahindi Kenya yote. Anavutia kwake.

Mafuta ni biashara ya Uhuru na Raila
Safi Sana kwa kutoa mchango mzuri wengi hawajui haya.. watawala wengi wakiingia Huwa wanaanzisha vitu ambavyo vitawapa faida kwao. Kuanzisha project miradi mikubwa ni sawa sawa na hapa Tanzania kila kiongozi akiingia madarakani awamu yake anataka aweke miradi yake maana anajua atapata asilimia flani..
 
Kuujua huu mchezo inabidi uusome tokea 360⁰
Ruto ni kabaila. Yeye binafsi anaongoza kwa kulima na kuzalisha mahindi Kenya yote. Anavutia kwake.

Mafuta ni biashara ya Uhuru na Raila
Hata hivyo ruzuku ya mafuta sio faida ya wauzaji bali nafuu ya wananchi...akiiondoa ruxuku faida ya wauzaji iko palepale
 
Kenya wanaenda kujitosheleza msosi. Ndiyo raha ya kuwa na Rais mwenye shamba. Na hilo la kuwapenda wakulima kwa Kenya lipo toka uhuru.
 
Kila mwaka kenya kuna ukame sijui hilo kama kalifikiria shida sio ruzuku ya mbolea huyu rais inabidi atulie kwanza kabla hajaingia field mana yale kipindi cha kampeni ni nadhalia tu
Kuna maeneo yenye mvua za kutosha kama Meru
 
Back
Top Bottom