johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa Tzn mlivyo na mdomo serikali ikisema itoe si mtaangua kilio hadi mkome?Rais Ruto amesema serikali yake itaachana na Ruzuku ya Mafuta ya petrol na Diesel na badala yake itaimarisha kilimo cha Mahindi kwa kuweka Ruzuku Kwenye Mbolea
Source BBC Dira ya Dunia
Kuujua huu mchezo inabidi uusome tokea 360⁰Rais Ruto amesema serikali yake itaachana na Ruzuku ya Mafuta ya petrol na Diesel na badala yake itaimarisha kilimo cha Mahindi kwa kuweka Ruzuku Kwenye Mbolea
Source BBC Dira ya Dunia
akili nyingiKuujua huu mchezo inabidi uusome tokea 360⁰
Ruto ni kabaila. Yeye binafsi anaongoza kwa kulima na kuzalisha mahindi Kenya yote. Anavutia kwake.
Mafuta ni biashara ya Uhuru na Raila
Kama ndivyo ajiandae na choko choko za OdingaKuujua huu mchezo inabidi uusome tokea 360⁰
Ruto ni kabaila. Yeye binafsi anaongoza kwa kulima na kuzalisha mahindi Kenya yote. Anavutia kwake.
Mafuta ni biashara ya Uhuru na Raila
Si alikuwa ikulu?Kila mwaka kenya kuna ukame sijui hilo kama kalifikiria shida sio ruzuku ya mbolea huyu rais inabidi atulie kwanza kabla hajaingia field mana yale kipindi cha kampeni ni nadhalia tu
Safi Sana kwa kutoa mchango mzuri wengi hawajui haya.. watawala wengi wakiingia Huwa wanaanzisha vitu ambavyo vitawapa faida kwao. Kuanzisha project miradi mikubwa ni sawa sawa na hapa Tanzania kila kiongozi akiingia madarakani awamu yake anataka aweke miradi yake maana anajua atapata asilimia flani..Kuujua huu mchezo inabidi uusome tokea 360⁰
Ruto ni kabaila. Yeye binafsi anaongoza kwa kulima na kuzalisha mahindi Kenya yote. Anavutia kwake.
Mafuta ni biashara ya Uhuru na Raila
Hata hivyo ruzuku ya mafuta sio faida ya wauzaji bali nafuu ya wananchi...akiiondoa ruxuku faida ya wauzaji iko palepaleKuujua huu mchezo inabidi uusome tokea 360⁰
Ruto ni kabaila. Yeye binafsi anaongoza kwa kulima na kuzalisha mahindi Kenya yote. Anavutia kwake.
Mafuta ni biashara ya Uhuru na Raila
Kuna maeneo yenye mvua za kutosha kama MeruKila mwaka kenya kuna ukame sijui hilo kama kalifikiria shida sio ruzuku ya mbolea huyu rais inabidi atulie kwanza kabla hajaingia field mana yale kipindi cha kampeni ni nadhalia tu
Asante kwa elimu hii ya bureKuujua huu mchezo inabidi uusome tokea 360⁰
Ruto ni kabaila. Yeye binafsi anaongoza kwa kulima na kuzalisha mahindi Kenya yote. Anavutia kwake.
Mafuta ni biashara ya Uhuru na Raila