BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
KENYA: Rais William Ruto anatarajiwa kuhutubia Taifa usiku wa leo Juni 25, 2024 ikiwa ni siku iliyotawaliwa na Maandamano katika maeneo mbalimbali ya Nchi hiyo yakiongozwa na Vijana wenye Umri Mdogo (Gen Z)
Hatua ya Ruto inakuja wakati taarifa zikieleza takriban Watu 10 wameuawa kwa kushambuliwa na Askari waliotumia Risasi za Moto katika kupambana na Waandamanani
Wakati huo huo, Mabalozi 12 wanaowaziwakilisha Nchi za Canada, Denmark, Finland, Ujerumani, Ireland, Uholanzi, Estonia, Sweden, Romania, Ubelgiji, Uingereza na Marekani zimetoa taraifa ya kusikitishwa na Mauaji ya Waandamanaji na kuzikumbusha Mamlaka kuheshimu na kusimamia Misingi ya Demokrasia na Kuwalinda Raia
PIA SOMA
- LIVE - Yanayojiri Maandamano Kenya: Waandamanaji wafika Bungeni, wawili wauawa kwa risasi