Kenya 2022 Ruto kwa Uhuru Kenyatta: Acha kuwatisha Wakenya na Kuniongelea

Kenya 2022 General Election

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Deputy President William Ruto has yet again launched an onslaught against his boss, Uhuru Kenyatta, following a series of remarks made by the Head of State recently. In a bare-knuckle response to alleged threats by President, the DP has fired back at Uhuru telling him to focus on his retirement.

"Nataka nimuombe rais wetu wa Kenya. Tafadhali rais, you should not be the source of threats in Kenya. Wacha Kutisha wakenya. Kazi yako ni kuhakikisha wakenya wote wakae pamoja (I want to ask Mr. President, please, you should not be the source of threats in Kenya. Stop threatening Kenyans, your work is making sure all Kenyans are united)," he said.

"Wacha kutuambia tutakujua wewe ni Rais, sisi ndo tulikuchagua na tulikuchagua uwe rais wa kenya. Wacha kututisha, sisi si watu wa kutishwa (Stop saying we will know you are the president, we are the ones who elected you to the presidency. Stop threatening us, We cannot be threatened)."

The DP was speaking at a campaign rally in Kapsabet, Nandi County on Friday. He went on to tell the President to pay attention to marketing his candidate Raila Odinga instead of daily attacking and, he said, threatening him.

"Namuambia rafiki yangu Uhuru Kenyatta, please, wakati ulikua unahitaji watu wa kusimama na wewe tulisimama na wewe to the last man. Huyo Kitendawili unatusukumia saa hizi ni jamaa amehangaisha Kenya na alikuhangaisha ata wewe (My friend Uhuru Kenyatta, the time you wanted someone to stand by you, we stood by you, to the last man. That Kitendawili man you are forcing on people is a man who troubled Kenya and also tortured you)," he said.

"Nataka nikuambie, wacha kuniletea maneno, wewe sukuma candidate yako bwana kitendawili. Unaniongelea nini? (I want to tell you, stop attacking me. Just campaign for your Kitendawili candidate. Why are you talking about me? )Mr President, stop talking about me, talk about your candidate...Wachana na William Ruto. I supported you when you needed a man to support you."

Source: Citizen Digital
 
Sasa lutto hataki aongelewe wakati na yeye ni sehemu ya serikali

Sema wakenya nao ni wa-tz waliochangamka huyo lutto kama hapendezwi na uendeshaji wa serikali angejiuzuru mapema sio ale mema ya nchi alafu badae ndo ataka aaminiwe yeye ikiwa n wale wale

NB. Mawaziri tanzania watosheke na nyongeza ya mishahara sio kulalamika wakati kundi kubwa limenufaika na 23% hahahahahaha
 
Ruto is the next president of Kenya.. hiyo hata Uhuru anajua.

Ruto ni hustle halafu msomi.. and brave.. ni rare sana kupata hiyo combination kwa kiongozi.

Raila ataangushwa asubuhi na mapema
 
Sasa lutto hataki aongelewe wakati na yeye ni sehemu ya serikali

Sema wakenya nao ni wa-tz waliochangamka huyo lutto kama hapendezwi na uendeshaji wa serikali angejiuzuru mapema sio ale mema ya nchi alafu badae ndo ataka aaminiwe yeye ikiwa n wale wale

NB. Mawaziri tanzania watosheke na nyongeza ya mishahara sio kulalamika wakati kundi kubwa limenufaika na 23% hahahahahaha
Ruto yupo sahihi , Uhuru anawivu wa kijinga , saa hizi amekamata pesa za account za Gashagwa ni nini maana yake ?
 
Why is he always attacking Ruto? Why not Raila who's always a trouble maker in this country? Kenyans should know well who's will be there next president? I think Kenyans would have take action against all tumbocrats on the 9th of August 2022.
 
RAILA is the only reason you are in Kenya and not deported or killed. Respect the man.
 
Hustle Kwa maana ya mwizi?Unasemaje ni next president? research yako ime base na nini?
Historical Kenya wakikuyu ndo wanaamua Nani awe Rais ...
Sasa kati ya Raila na Ruto, ni nani ndiye ana umaarufu kutoka kwa wakikuyu?
 
Zimebaki siku chache tunzeni hii quotes mlete mrejesho.Ipo hivi duniani nzima ikiwemo serikali zote za duniani zipo chini ya nguvu za mamlaka ya watawala wa ulimwengu usioonekana, chochote kabla hakijafanyika ktk ulimwengu wa macho tayari kilishafanyika au afikiwa ktk ulimwengu usioonekana.
Uwe unataka utaki unakubali ukubali sisi sote tunaongozwa na nguvu zilizo nje ya uwezo wetu ambazo zipo ktk ulimwengu wa siri.
Kama serikali tu inawatambua wazee mfano wazee wa Dar ukadhani ni wazee as wazee sababu ya mvi au umri upo nyuma upo wrong,wale ni watu wazito Sana katk ulimwengu ulionekana wapo physical kuwakilisha wakuu wa ulimwengu usioonekana.
Ni SAwa na vatican, vatican si kama vatican ni zaidi ya vatican,thus wakuu wote wa duniani bila kujali dini ni lazima wasalute kwa Pope. Raila Odinga alimshinda UHURU uchaguzi uliopita akawa ajakubaliana masharti ya wakuu wa dunia thus akachezewa mchezo akapewa UHURU, Then anaitwa akaitwa akayakubali masharti thus anachukua this time hata Kenyatta analijua hili ndo maana kaamua kuwa upande wa Raila.
Kwann kambi ya Raila itashinda.
1.Wakenya wamechoka kutawaliwa na kabila/ ukanda mmoja miaka yote, wanataka kubadilisha ladha.
2.Kambi ya Odinga ni strong Ina wagombea smart na wameshauzika miaka mingi sana yaani Odinga na Martha Karua kuliko kambi ya Ruto pia ni wanasiasa mahiri na ni wachapa Kazi wakenya wanaona watavusha na sio ile kambi ya mafisadi.
3.Kambi ya ODIMA yaani Martha na Odinga Ina makampeni meneja smart na makini Sana kuliko kambi ya Ruto.
4.Ruto anajibomboa mwenyewe kwa kauli zake za chuki na visasi na ukosefu wa nidhamu.
5.Ruto ana visasi hana utulivu wa akili yaani sio matured and civilized enough kuongoza nchi,kiburi mjuaji mapepe yaani saikolojia yake haijabalance bado kulinganisha na Odinga,pia ni dictator hofu atawaletea machafuko wa Kenya.
6.Wakuu wa duniani hawawezi ruhusu hayawani aingie ikulu, Kenya ni muhimu Sana kama base ya kucontrol East, and Central Afrika ikiwemo Ghuba ya Aden. Utulivu wa Kenya ni muhimu Sana kwa interest zao.
7.Katika ulimwengu usioonekana wao chaguo lao ni Odinga kwa maana ni rahisi kumcontrol kinyota na sio Ruto yeye hayupo kabisa kwenye radar zao.

Wiki ijayo sio mbali tunzeni post hii.RAILA AMORO ODINGA ndie next president wa Kenya.Upige kura usipige kura tayari wakubwa wa Dunia walishapanga Odinga
 
Urais wa Kenya naufahamu kwa mtiririko wake kuna mzee mmoja wa Kikenya aliwahi kunipangia. Baada ya Uhuru Kenyatta atafatia Raila Amolo Odinga tem moja then William Rutto two term then Musalia Mudavadi term moja then Gideon Moi. Alikomea hapo
 
Ngoja upite uchaguzi kwanza watatupa siri.
Mfano TANZANIA haitotokea Waziri Mkuu kuja kuwa Rais,hata lowasa alikuwa anakimbiza upepo hata tu kama kama alishinda, hawezi kiuka maagano.Ni hadi Yale maagano ya yafunjwe.
Sijui kwann hakuujua siri hii asingepoteza pesa zake bure.
 
Deputy President William Ruto has yet again launched an onslaught against his boss, Uhuru Kenyatta, following a series of remarks made by the Head of State recently. In a bare-knuckle response to alleged threats by President, the DP has fired back at Uhuru telling him to focus on his retirement.

"Nataka nimuombe rais wetu wa Kenya. Tafadhali rais, you should not be the source of threats in Kenya. Wacha Kutisha wakenya. Kazi yako ni kuhakikisha wakenya wote wakae pamoja (I want to ask Mr. President, please, you should not be the source of threats in Kenya. Stop threatening Kenyans, your work is making sure all Kenyans are united)," he said.

"Wacha kutuambia tutakujua wewe ni Rais, sisi ndo tulikuchagua na tulikuchagua uwe rais wa kenya. Wacha kututisha, sisi si watu wa kutishwa (Stop saying we will know you are the president, we are the ones who elected you to the presidency. Stop threatening us, We cannot be threatened)."

The DP was speaking at a campaign rally in Kapsabet, Nandi County on Friday. He went on to tell the President to pay attention to marketing his candidate Raila Odinga instead of daily attacking and, he said, threatening him.

"Namuambia rafiki yangu Uhuru Kenyatta, please, wakati ulikua unahitaji watu wa kusimama na wewe tulisimama na wewe to the last man. Huyo Kitendawili unatusukumia saa hizi ni jamaa amehangaisha Kenya na alikuhangaisha ata wewe (My friend Uhuru Kenyatta, the time you wanted someone to stand by you, we stood by you, to the last man. That Kitendawili man you are forcing on people is a man who troubled Kenya and also tortured you)," he said.

"Nataka nikuambie, wacha kuniletea maneno, wewe sukuma candidate yako bwana kitendawili. Unaniongelea nini? (I want to tell you, stop attacking me. Just campaign for your Kitendawili candidate. Why are you talking about me? )Mr President, stop talking about me, talk about your candidate...Wachana na William Ruto. I supported you when you needed a man to support you."

Source: Citizen Digital
My prayers are with Ruto for presidency. Naamini Ruto ni mtu sahihi kwa nafasi ya Urais Kenya.
 
Back
Top Bottom