Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Rais-Mteule Ruto amewaambia Wabunge wa Kenya Kwanza japokuwa watakuwa na uwiano mzuri bungeni wasichukulie jambo hilo kimchezo mchezo badala yake wanatakiwa kuwa makini sana.
Aliongeza kuwa wanashindana timu inayotapata tapa sana, akisema kuwa kama wanaweza kutumia Kamati ya Usalama wa Taifa kujaribu kupindua matakwa ya watu basi wanaweza kufanya vibaya zaidi, wanahangaika sana kupata Spika kutoka upande wowote.
Aliwaasa wabunge hao kwa kuwaambia baadhi yao wanaweza kukamatwa ili tu kupunguza idadi yao hivyo wanatakiwa kuwa makini sana.