Ruto rais ajaye Kenya?

Ruto rais ajaye Kenya?

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,418
Reaction score
9,209
FAtxAvOXEAERlOb

Umati unayo hudhuria mikutano ya Ruto unatisha.Hapa Nakuru strong hold ya team kieleweke.
Tangatanga mnatisha.
 
KNY politics are umpredictable. He has to tread extremely carefully & watch his signs very closely.
 
kikiyu gang from mount kenya hawatakubali nchi itawaliwe na kalenjin. damu itamwagika.

mikoa ya tz particularly arusha, kilimanjaro na mara ijiandea kupokea wakimbizi kama ilivyokuwa 2007.
 
Ukizingatia na ile taarifa ya Pandora,kenyatta and his ally kazi ipooo
 
Atakayekubaliwa na wenye nchi ya Kenya(Kikuyu), ndiye atakayekua rais wa Kenya, huo umati usikutishe.
 
Hata hiyo deep state au system ifanye nini haitaweza kumzuia DP ruto kuingia state house.
We hujui Siasa za Kenya. Central ndo huamua Nani awe Rais. Viashiria vinaonyesha wanamuunga mkono RAO maana Hustler Ni mwizi ajabu
 
Raila Odinga bwana. Hata ashinde luto tutamnyang'anya tu ki-ccm ccm
 
Huyu atauwawa kwa ajali ya helicopter kama bwana Saitoti
 
RAO atalinda maslahi ya Wa-Kikuyu. Tofauti na Ruto ambae haachi pesa ipite Mbele yake
 
R
Sasa kikuyu kati yao ni yupi?. Maana naona kinyang'anyilo kikubwa itakuwa kati ya Raila na Ruto
Raila ana Support ya Uhuru (Kikuyu from Central) Ruto anatoka Rift valley- Kalenjin ambako Hana ushawishi maana mtoto wa Moi also Kalenjin soon atamsupport RAO mchezo uishe
 
Back
Top Bottom