Ruto regime ni "State Capture"dhidi ya "State Cartel"

Hizi ni siasa za maccm zinazoaminisha watu kwamba kiongozi hatakiwi kuwa tajiri.Yaani mtu akiushinda umasikini,maccm yanataka asiwe kiongozi.Umaskini ni mbaya ,kiongozi maskini lazima atakuwa Mwizi ili apate utajiri.Ni siasa mbovu kutanguliza umasikini kama sifa ya uongozi.Hichilema wa Zambia anasema,wenye political ambitions wanatakiwa wapambane kwanza na umasikini,wakifanikiwa ndiyo waingie kwenye siasa.Umasikini ni dhana ya wezi wanaoubaka uchumi na raia wa Tanzania.Umaskini ni aibu,aibu,aibu.Siyo Hali ya kifahari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…