Ruto sasa kuunda Serikali ya Vyama Vingi kama Kikosi Kazi Cha Prof Mkandala

Ruto sasa kuunda Serikali ya Vyama Vingi kama Kikosi Kazi Cha Prof Mkandala

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hatimaye Rais Ruto amesema ataunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa itakayokuwa na Mawaziri kutoka vyama vyote vya Siasa na Taasisi za Kijamii na Kidini.
---

Ruto To Form Inclusive Govt:
President pledges to form an all-inclusive CabinetRuto says new Cabinet will have the face of Kenya

Ruto: Let’s work together for a united KenyaDP Gachagua praises President for dissolving CabinetGachagua: Leaders should serve Kenyans with humility

Source: Citizen TV
 
Ili nchi iendelee, inataka visionary leader mmoja tu, hao wote watasababisha nchi isiendesheke, mgongano wa maslahi utakua mkubwa sana
 
Kama ana 'ubavu' wa kuwaongoza itakuwa poa.
All in all! Kwa ile winning margin hakuna namna angeweza kuongoza, labda iwe bongolala land
 
Kenya siyo nchi/taifa,ni zizi lililokusanya mbwa, ng'ombe,mbweha,fisi..yaani vurugu tu
Nyie mlioko madarakani ndo mnasema hayo..Hata sisi yatafika,,haiwezkani mfanyakaiz mmoja wa TRA anakutwa ndani kaweka billion sba kwenye viroba na serikali haichului hatua
 
Kenya siyo nchi/taifa,ni zizi lililokusanya mbwa, ng'ombe,mbweha,fisi..yaani vurugu tu
Kenya wanaweza wakawa vyovyote vile, lakini hadhi yao haiwezi ikaporomoka kiasi cha Watanzania kujaribu kuwanyooshea kidole kwa chochote kile.
 
Kenya wanaweza wakawa vyovyote vile, lakini hadhi yao haiwezi ikaporomoka kiasi cha Watanzania kujaribu kuwanyooshea kidole kwa chochote kile.
Hadhi gani!?..wakenya Wana hadhi!!?..au unazungumzia ujuaji!?..waswahili Wana msemo kuchamba kwingi mwisho kushika mavi
 
Hadhi gani!?..wakenya Wana hadhi!!?..au unazungumzia ujuaji!?..waswahili Wana msemo kuchamba kwingi mwisho kushika mavi
Unaweza ukawaita vyivyote, lakini si kufananishwa na Tanzania. Unaweza ukawaita wajuaji, swali ni je, wewe uliye mjinga na unayejivunia ujinga wako unawashinda kipi?
 
Unaweza ukawaita vyivyote, lakini si kufananishwa na Tanzania. Unaweza ukawaita wajuaji, swali ni je, wewe uliye mjinga na unayejivunia ujinga wako unawashinda kipi?
Kakwambia nani mi mjinga!?..wajinga ni Wnaoharibu Mali ya umma iliyonunuliwa/jengwa kwa Kodi zao
 
Back
Top Bottom