johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Demokrasia ipi hiyo huko Kenya? Watu wanatupwa kama kinyesi unasema demokrasia?Kenya imetuacha mbali kwenye democracy na hili likifanikiwa watatuacha mbali zaidi. Nawaonea wivu .
Inasemekana eti hawakuwahi kuwa nao hata. Ni kwamba zilikuwa mbwembwe tu na danganyatoto za kisiasa.Kenya washapoteza mwelekeo
Nyie mlioko madarakani ndo mnasema hayo..Hata sisi yatafika,,haiwezkani mfanyakaiz mmoja wa TRA anakutwa ndani kaweka billion sba kwenye viroba na serikali haichului hatuaKenya siyo nchi/taifa,ni zizi lililokusanya mbwa, ng'ombe,mbweha,fisi..yaani vurugu tu
Kenya wanaweza wakawa vyovyote vile, lakini hadhi yao haiwezi ikaporomoka kiasi cha Watanzania kujaribu kuwanyooshea kidole kwa chochote kile.Kenya siyo nchi/taifa,ni zizi lililokusanya mbwa, ng'ombe,mbweha,fisi..yaani vurugu tu
Hakuna kituKenya imetuacha mbali kwenye democracy na hili likifanikiwa watatuacha mbali zaidi. Nawaonea wivu .
Hadhi gani!?..wakenya Wana hadhi!!?..au unazungumzia ujuaji!?..waswahili Wana msemo kuchamba kwingi mwisho kushika maviKenya wanaweza wakawa vyovyote vile, lakini hadhi yao haiwezi ikaporomoka kiasi cha Watanzania kujaribu kuwanyooshea kidole kwa chochote kile.
Unaweza ukawaita vyivyote, lakini si kufananishwa na Tanzania. Unaweza ukawaita wajuaji, swali ni je, wewe uliye mjinga na unayejivunia ujinga wako unawashinda kipi?Hadhi gani!?..wakenya Wana hadhi!!?..au unazungumzia ujuaji!?..waswahili Wana msemo kuchamba kwingi mwisho kushika mavi
Kenya imetuacha mbali kwenye democracy na hili likifanikiwa watatuacha mbali zaidi. Nawaonea wivu .
Kakwambia nani mi mjinga!?..wajinga ni Wnaoharibu Mali ya umma iliyonunuliwa/jengwa kwa Kodi zaoUnaweza ukawaita vyivyote, lakini si kufananishwa na Tanzania. Unaweza ukawaita wajuaji, swali ni je, wewe uliye mjinga na unayejivunia ujinga wako unawashinda kipi?
Tanzania Kuna yule akiawa ndani ya bunge alisema bilioni 2 hela ya mboga, Na tulimchekea tu .Mawaziri watakoma kuwaringishia gen z utajiri wao!!
Huku tunaambiwa " Unalijua v8 wewe"?
Utaoga matusi mengi sana kwa kusema ukweli!Kenya imetuacha mbali kwenye democracy na hili likifanikiwa watatuacha mbali zaidi. Nawaonea wivu .