J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Oct 24, 2022 #1 Naendelea kuifuatilia Siasa za Kenya ilu nijiridhishe kama Wapinzani wa Tanzania walikuwa sahihi kumuunga mkono Dr Ruto J3 Ubarikiwe sana!
Naendelea kuifuatilia Siasa za Kenya ilu nijiridhishe kama Wapinzani wa Tanzania walikuwa sahihi kumuunga mkono Dr Ruto J3 Ubarikiwe sana!
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Oct 24, 2022 #2 Habari
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 7,719 Reaction score 14,506 Oct 24, 2022 #3 Another JPM version.
Supu ya kokoto JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,194 Reaction score 7,602 Oct 24, 2022 #4 Rutobado yuko honey moon, akijua urais ni zaidi ya ahadi za kampeni nadhani atakoma kumsingizia kila kitu mtangulizi wake.
Rutobado yuko honey moon, akijua urais ni zaidi ya ahadi za kampeni nadhani atakoma kumsingizia kila kitu mtangulizi wake.
TEMLO DA VINCA JF-Expert Member Joined Sep 1, 2013 Posts 3,079 Reaction score 3,367 Oct 24, 2022 #5 Mama mboga cio wananchi