johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Africa Mashariki Dr Ruto amesema Suluhu ya Kijeshi haitasaidia DRC bali kinachotakiwa ni mazungumzo
Source Citizen TV
Source Citizen TV
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Citizen TV si ni ya kwake? Majeshi yaliyokimbia DRC hadi na kucha ndala huko si ni ya kwake? Anajua endapo ikipitishwa Option ya Suluhu ya Kijeshi; vijana wake watamfedhehesha kwa mara nyingine tena kwenye medani za kivita.Mwenyekiti wa Jumuiya ya Africa Mashariki Dr Ruto amesema Suluhu ya Kijeshi haitasaidia DRC bali kinachotakiwa ni mazungumzo
Source Citizen TV