Ruto: Suluhu ya Kijeshi haitasaidia DRC

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Africa Mashariki Dr Ruto amesema Suluhu ya Kijeshi haitasaidia DRC bali kinachotakiwa ni mazungumzo

Source Citizen TV
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Africa Mashariki Dr Ruto amesema Suluhu ya Kijeshi haitasaidia DRC bali kinachotakiwa ni mazungumzo

Source Citizen TV
Citizen TV si ni ya kwake? Majeshi yaliyokimbia DRC hadi na kucha ndala huko si ni ya kwake? Anajua endapo ikipitishwa Option ya Suluhu ya Kijeshi; vijana wake watamfedhehesha kwa mara nyingine tena kwenye medani za kivita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…